Hodi Mwanza

Hodi Mwanza

Ukihihitaji Mtu akuletee popote ulipo kama ni wa kukaanga au Wabichi niambie Naka..Nikupe namba yake...

Ni wewe unamwambia tu unatakaje..

Mimi naomba wale Dagaa wabichi wanaokaangwa na Mafuta pale Namanga[emoji2]
Nikienda mwanza utanipa no auntie ujue nina safari ya mwanza maswali sitaki
 
Mwanza kama mwanza ndoo ya lita 10 ama 20 ya wale dagaa wabichi waliotoka kuvuliwa na kukaangwa bei gani?
 
Back
Top Bottom