Aya mida gani utakuwepo hapoNjoo
Moro stend uchukue thatoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aya mida gani utakuwepo hapoNjoo
Moro stend uchukue thatoo
Ngoja nikabook room pale morena mrembo upumzike kesho utapanda BM kwenda darWataalam wa hii njia wakujibu
Asee me nlikaa kirumba zaidiNakadori em nishauri hotel nzuri iliyokaribu na stendi ya mabasi mwanza nataka niingie apo siku chache zijazo
Muulize konda kama kuna siti ya wazi moro to dar tumalize safari pamojaWe bwana wewe hii kituo ni dsm . Mungu atusaidie tufike salama tuu
Yaani wote ni mwanza mpaka dar😲😲😲😲. Aya bana mie nasubiri samaki wangu.Hili basi limejaa yanii ni level seat mzee baba
Nipo hapa msamvu nakusubiria hnikabidhi mzigo wanguYani wamekodii
Nilikuwa hapa flomi...ngoja nije fasta hapoUko sehemu gani mbona sikuoni?1
😂 😂 😂 😂Yani mzabzab ashatia timu uzi ushabadilika ushakuwa wa kulana