Tutamwongezea keyboard na vinanda..maana NGOMA tayar Atakua NAYO..
Naona ndugu yetu anatafuta matatizo kwa nguvu....
Kuna kipindii nipo maskani nime chili na washikaji piga story sana wakasema tenzetu...likapigwa panenga la ANDY PIRLO..MIMI NIKAJIFANYA PLAYER ZAIDII YA RONALDO WA BRAZIL.. (ni zaidi ya wimbo wa MDANANDA wa SHETTA)
Hii story yangu ndio ilifanyaga nikatundika daluga mapema SANAAAAAA..Nikaachanaga na mambo ya uhuni na wanawake..nili acha kabisa usela na uhuni wa wanawake. (Kumi ukijumlisha moja bado haikamilishi dozen).