Wakuu habar za siku? Niliwamiss wakuu, nilipotea kdg humu! Yaliyonipata ni kuwa kuna siku nililkunywa bombardier nikasahau nywila yangu!!! Lkn baada ya muda kupita nilikumbuka! Nimekosa mijadala mingi humu ya kitaifa kwa maendeleo ya nchi yangu!
Huwezi kuwa mnywa bombardier then ukawa active member wa JF. Unaweza kukuta unatumia akaunti ya mmeo bila kujua. Hebu hakikisha kama ali-log out kwanza!