Nimeamini kuwa ukiwa nje ya JF kwa muda mrefu kidogo inakuwa kama upo jela,humu ndio "uraiani" kwangu, nilikuwa nimekuwa banned kwa kipindi cha mwezi mmoja kwa kosa la kumtaja jina "bi kiroboto".,kuweni makini mtu usiombe ukapigwa ban humu wakati ulishapazoea ni kama umewekwa jela vile.
Haya waambie mods. waifunge ile akaunti yako uliyofungua ulipokuwa jela.Nimeamini kuwa ukiwa nje ya JF kwa muda mrefu kidogo inakuwa kama upo jela,humu ndio "uraiani" kwangu, nilikuwa nimekuwa banned kwa kipindi cha mwezi mmoja kwa kosa la kumtaja jina "bi kiroboto".,kuweni makini mtu usiombe ukapigwa ban humu wakati ulishapazoea ni kama umewekwa jela vile.
karibu mkuu tupo pamoja.Nimeamini kuwa ukiwa nje ya JF kwa muda mrefu kidogo inakuwa kama upo jela,humu ndio "uraiani" kwangu, nilikuwa nimekuwa banned kwa kipindi cha mwezi mmoja kwa kosa la kumtaja jina "bi kiroboto".,kuweni makini mtu usiombe ukapigwa ban humu wakati ulishapazoea ni kama umewekwa jela vile.
matusi hayo mkuuHaya waambie mods. waifunge ile akaunti yako uliyofungua ulipokuwa jela.
Sijawahi tupwa jela.Mkuu wewe ulipokuwa jela ulifungua akaunti nyingine?
Matusi yako wapi hapo kiongozi?matusi hayo mkuu