Hodi tena,nimetoka 'JELA'

Hodi tena,nimetoka 'JELA'

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
1,736
Reaction score
408
Nimeamini kuwa ukiwa nje ya JF kwa muda mrefu kidogo inakuwa kama upo jela,humu ndio "uraiani" kwangu, nilikuwa nimekuwa banned kwa kipindi cha mwezi mmoja kwa kosa la kumtaja jina "bi kiroboto".,kuweni makini mtu usiombe ukapigwa ban humu wakati ulishapazoea ni kama umewekwa jela vile.
 
mimi mwenyewe nimepigwa ban mpaka tarehe 13 desemba, nashangaa bado nipo
 
Nimeamini kuwa ukiwa nje ya JF kwa muda mrefu kidogo inakuwa kama upo jela,humu ndio "uraiani" kwangu, nilikuwa nimekuwa banned kwa kipindi cha mwezi mmoja kwa kosa la kumtaja jina "bi kiroboto".,kuweni makini mtu usiombe ukapigwa ban humu wakati ulishapazoea ni kama umewekwa jela vile.
Haya waambie mods. waifunge ile akaunti yako uliyofungua ulipokuwa jela.
 
Nimeamini kuwa ukiwa nje ya JF kwa muda mrefu kidogo inakuwa kama upo jela,humu ndio "uraiani" kwangu, nilikuwa nimekuwa banned kwa kipindi cha mwezi mmoja kwa kosa la kumtaja jina "bi kiroboto".,kuweni makini mtu usiombe ukapigwa ban humu wakati ulishapazoea ni kama umewekwa jela vile.
karibu mkuu tupo pamoja.
 
Karibu tena JF . Usirudie tena kosa.
 
karibu sana,lakin umekumbuka kuja na rambirambi?
 
Back
Top Bottom