Hodi Wakuu

Heshima kwenu nyote

naomba mnipokee.
Karibu mkuu ila nimekupa onyo siku nyingine uwe unaweka na picha tafadhali sisi waafrika tunahulka ya kujuana hii ni desturi yetu mkuu!!ili owe hujavunja hii sheria tunataka picha yako tafadhali!!
 
Karibu mkuu ila nimekupa onyo siku nyingine uwe unaweka na picha tafadhali sisi waafrika tunahulka ya kujuana hii ni desturi yetu mkuu!!ili owe hujavunja hii sheria tunataka picha yako tafadhali!!

Asante mkuu,Picha nilijua ni mambo ya Facebook ,Humu ndani ni kubishana kwa hoja au nimekosea ?
 
Karibu sana ila zaidi ya adabu humu!
Ukileta fyokofyoko[emoji777]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…