Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Heshima kwenu nyote
naomba mnipokee.
naomba mnipokee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu Mfalme.. uwanja na majukwaa yapo wazi kwako!!Heshima kwenu nyote
naomba mnipokee.
Nashukuru sana MkuuKaribu Mfalme.. uwanja na majukwaa yapo wazi kwako!!
Karibu mkuu ila nimekupa onyo siku nyingine uwe unaweka na picha tafadhali sisi waafrika tunahulka ya kujuana hii ni desturi yetu mkuu!!ili owe hujavunja hii sheria tunataka picha yako tafadhali!!Heshima kwenu nyote
naomba mnipokee.
Karibu sana mkuu,inaonekana wewe unatokea kule Tokyo kwa akina inamoto
Karibu mkuu ila nimekupa onyo siku nyingine uwe unaweka na picha tafadhali sisi waafrika tunahulka ya kujuana hii ni desturi yetu mkuu!!ili owe hujavunja hii sheria tunataka picha yako tafadhali!!
Ok!!vipi facebook unatumiaga jina gani!![emoji86] [emoji86]Asante mkuu,Picha nilijua ni mambo ya Facebook ,Humu ndani ni kubishana kwa hoja au nimekosea ?
Ok!!vipi facebook unatumiaga jina gani!![emoji86] [emoji86]
Karibu mkuu,ila uwe na nidhamu
Karibu mkuu...majukwaa yapo wazi kabisa hasa lile ulipendalo nalo lipo
karibia wageni wenzako tupoHeshima kwenu nyote
naomba mnipokee.
karibia wageni wenzako tupo
Ucwe tu mnoko humu
Karibu sana ila zaidi ya adabu humu!
Ukileta fyokofyoko[emoji777]
Karibu JF, njoo celebrities forum, jukwaa la kijanja zaidi jfHeshima kwenu nyote
naomba mnipokee.