kwa mara ya kwanza napiga hodI jf, ushirikiano wa mawazo hac na fikra pevu ndio silaha kubwa inayoweza kuifikisha jf mbali pamoja na kudumisha upendo na mshikamano baina ya wanajamvi pacpokujali kabila, dini na wala wapi unatokea ilhali tumekutanishwa na the home of great thinkers. NAWASILISHA