hodi wakuu

hodi wakuu

Aliens

Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
42
Reaction score
14
kwa mara ya kwanza napiga hodI jf, ushirikiano wa mawazo hac na fikra pevu ndio silaha kubwa inayoweza kuifikisha jf mbali pamoja na kudumisha upendo na mshikamano baina ya wanajamvi pacpokujali kabila, dini na wala wapi unatokea ilhali tumekutanishwa na the home of great thinkers. NAWASILISHA
 
Karibu sana jamvini Aliens, una undugu na Alliens wa humu ndani?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom