Hodi wana JF!Je mko tayari kunipokea niwe mmoja wenu?

Hodi wana JF!Je mko tayari kunipokea niwe mmoja wenu?

Imaima

Member
Joined
Apr 20, 2012
Posts
34
Reaction score
2
Kusema ukweli wa JF mko juu mawazo na uchambuzi wa mambo umenivutia nikaamua kwa hiari yangu mwenyewe niwe mmoja wenu
 
ur welcome jamvini,ila hapa story tu kula kwenuuu ;-))
 
e bwana karibu sana,mi ndo mmeza funguo ukiingia humu huwa hatutoki.e bwana usiogope ni dojoman
 
Back
Top Bottom