Hodi wana jf, mii ni mgeni japo sina kamba mguuni.....naombeni mnipokee

Hodi wana jf, mii ni mgeni japo sina kamba mguuni.....naombeni mnipokee

Mimi walishanipokea wenzio kitaambo, wewe nenda kapokee wengine....kina firauni n.k[emoji6]
Yalikuwa masihara tu samahani, na masihara ktk JF ni kitu cha kawaida, hiyo lugha ya kizazi kipya sijaizoea!!!
 
Kwani firauni hujamuona best! Situlipiga nae hodi wote? Ww ndo hujaelewa kuna mgeni anajiita firauni
 
Karibu sana JF, hadi nyumbani watanzania upendo ndio asili yetu.
 
Back
Top Bottom