hodi wana jf

hodi wana jf

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
2,818
Reaction score
3,730
habari ndugu zangu great thinkers! mm ni kijana mwenzenu naishi kigamboni ni mpya katika ukurasa huu wenye kila kitu hasa maarifa ambayo mwanadamu anahitaji tena solved...
nashuhulika na uwakala wa forodha i.e importation and exportation of goods and services across international borders.. naombeni sapoti yenu
 
naomba nikuulize hv kwa nini umeamua kujiunga humu ?
 
Back
Top Bottom