Hodi wana JF

Hodi wana JF

koba lee

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
981
Reaction score
1,606
Naombeni mnipokee,nimepapenda JF ni sehemu nzuri yenye kuelimisha na kuburudisha.
 
Karibu sana aiseee.

Kuanzia leo nimekuzawadia cheo cha ukuu, utaanza kuitwa Mkuu koba lee .

Mtu yeyote akikuzingua we mwambie asigwa amenipa ukuu tayari, akizidi kuwa mbishi we mlete kwangu
Asante kaka,kumbe nina wenyeji kabsa[emoji106] [emoji106]
 
Back
Top Bottom