Hahahah! Manano nayakumbuka sana,nasubiria vitendo tuAcha tu nikuambie mwayego hiyo fursa ni wewe japo wanavungavunga hapo,mamy kuwa mwangalifu si kila anaekuambia anakupenda akawa anamaanisha humu ndani.
Ila kumbuka yale niliyokuambia na uyahifadhi moyoni.
Shaka ondoa mamito.Hahahah! Manano nayakumbuka sana,nasubiria vitendo tu
Mbona naona mmoja kashakamatiwa chini huko tayari na bashasha za akina dada humu.Yaani sisi wanaume wa jf ni wakarimu sana. Dada kapiga hodi alivyokaribishwa kwa bashasha hadi amefurahi kinoma. Sasa mwanaume apige hodi jf watu wanampita kama hawamuoni
Hahahahaaaaaaaaaa,picha ni ya wajina wangu tu.Mmmh! Kweli duniani wawili wawili yaani mmefanana majina,sura hadi mavazi? Isijekuwa hata tabia mwafanana
Jamani,kwanini wanaume huwa hawakaribishwi vizuri? Au kwa kuwa wanaume wanatakiwa kugangamala popote wawapo?Yaani sisi wanaume wa jf ni wakarimu sana. Dada kapiga hodi alivyokaribishwa kwa bashasha hadi amefurahi kinoma. Sasa mwanaume apige hodi jf watu wanampita kama hawamuoni
[emoji3][emoji3][emoji3]Wapi huko?Mbona naona mmoja kashakamatiwa chini huko tayari na bashasha za akina dada humu.
Mwanaume anatakiwa kupambana na hali yake.Jamani,kwanini wanaume huwa hawakaribishwi vizuri? Au kwa kuwa wanaume wanatakiwa kugangamala popote wawapo?
Inna ashakuwa mwenyeji wa Don tayari kwenye uzi huu huu mkuu.[emoji3][emoji3][emoji3]Wapi huko?