Hodi wana JF

Hodi wana JF

Acha tu nikuambie mwayego hiyo fursa ni wewe japo wanavungavunga hapo,mamy kuwa mwangalifu si kila anaekuambia anakupenda akawa anamaanisha humu ndani.

Ila kumbuka yale niliyokuambia na uyahifadhi moyoni.
Hahahah! Manano nayakumbuka sana,nasubiria vitendo tu
 
Yaani sisi wanaume wa jf ni wakarimu sana. Dada kapiga hodi alivyokaribishwa kwa bashasha hadi amefurahi kinoma. Sasa mwanaume apige hodi jf watu wanampita kama hawamuoni
Mbona naona mmoja kashakamatiwa chini huko tayari na bashasha za akina dada humu.
 
Yaani sisi wanaume wa jf ni wakarimu sana. Dada kapiga hodi alivyokaribishwa kwa bashasha hadi amefurahi kinoma. Sasa mwanaume apige hodi jf watu wanampita kama hawamuoni
Jamani,kwanini wanaume huwa hawakaribishwi vizuri? Au kwa kuwa wanaume wanatakiwa kugangamala popote wawapo?
 
Utazielewa tu mdogo wangu Siku zinavoenda utaelewa kwann wanakua wakarimu hvyoo
Kweli eeh! Asante kwa kunifumbua macho jamani,itabidi niongeze umakini sana
 
Back
Top Bottom