Hodi wana JF

Hodi wana JF

Wasalaam!
Nimekuwa mgeni wa jf kwa muda, sasa nimeamua kujiunga nanyi rasmi. Naomba mnipokee,mnielekeze na kuniongoza wenyeji wangu.
Hata kwenye maisha yako nje ya Mitandao ya kijamii ni mchangamfu namna hii?
 
Karibu sana mareth, Mimi naitwa michie kama unavyoona hapo juu nipo JF kitengo cha SACCO'S.

Ni Dm nikupe taratibu za mikopo kwny nyumba yetu pendwa ya JF.
 
Karibu sana mareth, Mimi naitwa michie kama unavyoona hapo juu nipo JF kitengo cha SACCO'S.

Ni Dm nikupe taratibu za mikopo kwny nyumba yetu pendwa ya JF.
Aisee nafurahi kukufahamu,kweli jf ndo mambo yote najuta kuchelewa kujiunga, kumbe na mikopo mnatoa?
Riba yake ikoje?
 
Back
Top Bottom