Hodi wana JF

Hodi wana JF

Mwalufunamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
211
Reaction score
129
Nimeamua kuingia rasmi. Kutoka kuwa mgeni kila siku sasa nammi nataka kuwa mwenyeji.

Nashukuru moderator kwa kuanza kunikaribisha. Sasa naomba ukaribisho wenu wanaJF.

Kuwa guest kila siku kuna adha zake nyingi kweli.

Hodi jamani.
 
Globu, Ulimakafu na Kennedy nashukuru kwa ukaribisho wenu. Naamini mmefanya hivyo kwa ukarimu, mkijua siku moja na ninyi mlikuwa wageni kisha mkakaribishwa kama mimi hivi leo.
 
ukiwa mwenyeji raha,
ukiwa mgeni hufaidi,
haya anza katiza mitaa ya jf ili usije potea,
karibu saana,
 
Back
Top Bottom