Kama nimeelewa swali lako. Lengo la serikali ni kuwaepusha watu hapo baadae kwani ingefika mahali watu wengi wasingeweza kuvuna, ni wachache tu wangefaidika. Lakini serikali hata hivyo imechelewa kwani tayari watu wengi hawajui hatima ya mbegu zao kama ni nzima au zimeoza!