Hodi wana JF.

Hodi wana JF.

chicks

Member
Joined
Jun 2, 2009
Posts
5
Reaction score
0
Nimekuwa nikisoma habari zenu,nimeona ni vema nikawajoini tuko wote kuanzia sasa.
 
kuhusu Deci,serikari ilikuwa na lengo gani kusitisha na kutoana hadi kwa wanachama kwamba watarudishiwa mbegu zao.
 
nakushukuru sana ndugu kimori kwa kuniona wa kwanza.
 
kuhusu Deci,serikari ilikuwa na lengo gani kusitisha na kutoana hadi kwa wanachama kwamba watarudishiwa mbegu zao.

Ndugu Chicks, kwanza karibu jamvini. Sijakuelewa hapo juu una maanisha nini. Ulitaka kuanzisha mada au kuna mada iliyo hewani ulitaka kuichangia?
 
kuhusu Deci,serikari ilikuwa na lengo gani kusitisha na kutoana hadi kwa wanachama kwamba watarudishiwa mbegu zao.

Karibu Saaaana!

Kama nimeelewa swali lako. Lengo la serikali ni kuwaepusha watu hapo baadae kwani ingefika mahali watu wengi wasingeweza kuvuna, ni wachache tu wangefaidika. Lakini serikali hata hivyo imechelewa kwani tayari watu wengi hawajui hatima ya mbegu zao kama ni nzima au zimeoza!
 
Back
Top Bottom