Ni Mwenyekiti wa UVCCM kilimanjaro kijana wa EL
Una maana gani kusema nimeukimbia?
Mbona naufatilia..
Kwa hiyo unakiri kwa kinywa chako kwamba wewe ni mmoja wa wale wanaonunuliwa mishikaki na pombe kwa bili ya Edward Lowasa ?
Labda kama wewe unanunuliwa. Mie sinunuliki na wala sina bei...
Ila ndani ya CCM, tuna utaratibu wa kuheshimiana viongozi...
Nimetua rasmi hapa jukwaani...
Je, Fred Mushi ni nani?
Mimi ni Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kilimanjaro...
Kwa nafasi yangu hii..
Ni mjumbe wa Baraza Kuu-UVCCM Taifa..
Ni mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa..
Pia, ni mjumbe wa mkuu wa CCM Taifa..
Kidumu Chama Cha Mapinduzi..
Kauli yetu UVCCM-Ni kujenga na kulinda ujamaa..
Naona Babu yenu Shigela amewatuma mje JF mumsafishe kutokana na ishu aliyoiweka Ben Saanane.. Karibu sana JF
Kijana unaonekana kwenye Collabo yenu ya STOP BEN SAANANE , bila shaka kuna kafiri unayemtumikia , kama sivyo basi tueleze kwa nini unamshambulia Ben ( yaani umejituma mwenyewe au ni kidampa wa mtu ?) , kwa leo ni hayo mepesi , kwa kadri utakavyokomaa tutakutupia maswali magumu kidogo , Karibu !
Karibu sana Mushi ila jf sio kama kule kwenye kampuni ya yule kilaza Sambala diwani wa mondo anayeiongoza kata akiwa dar kawe anakunywa kahawa, ambaye alipiga kampeni fb katika kinyang'anyiro cha uenyekiti wa uvccm dodoma akaambulia kura 28.
Karibu sana kamuite na kimeta
wewe ndo Fred Mushi ulie soma mzumbe university ukamaliza 2009?
tafadhari naomba unijibu ili niweke mambo wazi hapa
Mtei, mimi situmiki! Au wewe ndo umetumwa ujiunge JF..?
Hahaha! Shukrani sana. Nitamleta humu Kimeta Wa Mpui..
Pamoja sana..
Hahaha! Shukrani sana. Nitamleta humu Kimeta Wa Mpui..
Pamoja sana..
Walete hawa jamaa
Zakatimu
Kimeta
Assenga
Sanare Olivia
Pjp Pjp
Mullemwah
Nyangonde
Magoha
Sambala