Hodi Wana JF..

Hodi Wana JF..

[Kauli yetu UVCCM-Ni kujenga na kulinda ujamaa..]

Kaka hii kauli mbiu ilishakufa mbona ujamaa gani unamaanisha...au ninyi watoto wa siku hizi mnajua hata ujamaa maana yake kweli..au ndio mshakuwa wendawazimu kama alivyosemaga muasisi wa CCM yetu Mwl. Nyerere" Ukitaka kuongelea ujamaa lazima uwe na akli ya mwendawazimu" UVCCM ni zao la CCM hii ya Azimo la Zanzibar please hii kauli mbinu ni kinyume kabisaaa na mwenendo wa Chama Chetu..ibadilike!!
 
Wana JF..

Niliuona huo uzi wa Ben Saa8 hata kule FB. Ila nilipuuza kuujibu kwani niliona ni upuuzi..

Mie na wana CCM wenzangu aliotutaja hatuhusiki na huo uzushi wa Ben..

Hata hivyo nimeshangaa Ben kulalamika kuwa eti kuna mkakati wa kumchafua wakati yeye sio tishio kwa CCM..

Hivyo namshauri Ben aendelee kujijenga kisiasa kimkakati kuliko siasa anazozifanya ambazo ni za kitoto..
 
Kwa hiyo unakiri kwa kinywa chako kwamba wewe ni mmoja wa wale wanaonunuliwa mishikaki na pombe kwa bili ya Edward Lowasa ?

Labda kama wewe unanunuliwa. Mie sinunuliki na wala sina bei...

Ila ndani ya CCM, tuna utaratibu wa kuheshimiana viongozi...
 
Nimetua rasmi hapa jukwaani...

Je, Fred Mushi ni nani?

Mimi ni Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kilimanjaro...

Kwa nafasi yangu hii..

Ni mjumbe wa Baraza Kuu-UVCCM Taifa..

Ni mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa..

Pia, ni mjumbe wa mkuu wa CCM Taifa..

Kidumu Chama Cha Mapinduzi..

Kauli yetu UVCCM-Ni kujenga na kulinda ujamaa..

Naona Babu yenu Shigela amewatuma mje JF mumsafishe kutokana na ishu aliyoiweka Ben Saanane.. Karibu sana JF
 
Last edited by a moderator:
Kijana unaonekana kwenye Collabo yenu ya STOP BEN SAANANE , bila shaka kuna kafiri unayemtumikia , kama sivyo basi tueleze kwa nini unamshambulia Ben ( yaani umejituma mwenyewe au ni kidampa wa mtu ?) , kwa leo ni hayo mepesi , kwa kadri utakavyokomaa tutakutupia maswali magumu kidogo , Karibu !
 
Karibu sana Mushi ila jf sio kama kule kwenye kampuni ya yule kilaza Sambala diwani wa mondo anayeiongoza kata akiwa dar kawe anakunywa kahawa, ambaye alipiga kampeni fb katika kinyang'anyiro cha uenyekiti wa uvccm dodoma akaambulia kura 28.

Karibu sana kamuite na kimeta
 
Soma hapo juu, nimejibu kwa kifupi kuhusu Ben..

Sijawahi kumshambulia popote. Mengine aliyoandika humu na FB anajitafutia umaarufu tu..
 
Karibu sana Mushi ila jf sio kama kule kwenye kampuni ya yule kilaza Sambala diwani wa mondo anayeiongoza kata akiwa dar kawe anakunywa kahawa, ambaye alipiga kampeni fb katika kinyang'anyiro cha uenyekiti wa uvccm dodoma akaambulia kura 28.

Karibu sana kamuite na kimeta

Hahaha! Shukrani sana. Nitamleta humu Kimeta Wa Mpui..

Pamoja sana..
 
wewe ndo Fred Mushi ulie soma mzumbe university ukamaliza 2009?

tafadhari naomba unijibu ili niweke mambo wazi hapa
 
wewe ndo Fred Mushi ulie soma mzumbe university ukamaliza 2009?

tafadhari naomba unijibu ili niweke mambo wazi hapa

Wakati tunamsubiri ajibu mi nakazia ndio yeye ambaye hata masters amesoma mzumbe ya dar
 
Mtei, mimi situmiki! Au wewe ndo umetumwa ujiunge JF..?

unatumika na Mamvi. Sasa Babu yenu Shigela amewaagza mje humu ili mjaribu kumsafisha. Mtachemka. Ina maana Shigela ndo ameshika akili?
 
Walete hawa jamaa
Zakatimu
Kimeta
Assenga
Sanare Olivia
Pjp Pjp
Mullemwah
Nyangonde
Magoha
Sambala

Mpaka afanye mchakato wa kuwaweka kwenye payroll. Halafu Mulemwa na Nyagonde ni anti Mamvi. Hawawezi kukubali kushikiwa akili kama ambavyo Mushi ameshikiwa na Shigela
 
Back
Top Bottom