Hodi wanajamii!

Hodi wanajamii!

John H.P

New Member
Joined
Apr 20, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Hi!
Nimeona ipo haja ya kujiunga na hili jukwaa ili kutoa au kuchangia nilichonacho na offcouse kujifunza.
Hodi wana JF!
 
Na mimi pia nakukaribisha ingawa ni mgeni pia.Niko Songea ila kwa hapa JF nitakuwa natumia SINGAPORE.Nawapenda wote!
 
karibu sana heshimu mawazo ya watu nawe utaheshimiwa.also stand on your own feet.
 
Back
Top Bottom