Hodi wanajamii

kambiringe

Member
Joined
Sep 3, 2010
Posts
5
Reaction score
1
Nimekuwa nikifatilia sana hii site, na nimeona inafaa sana, naomba kuwajoin
 
Mimi nachukia sana ufisadi, hasa ukizingatia ulivyolitafuna taifa letu kwa kiasi kikubwa. adha, dhiki na shida zinaaowapata watanzania chanzo chake ni ufisadi
 
.
Kwa mamlaka niliyopewa hapa jamvini ya kukaimu dharura zote, nakukaribisha. Jisikie upo ukanda huru wa kutoa mawazo.
 
Mimi nachukia sana ufisadi, hasa ukizingatia ulivyolitafuna taifa letu kwa kiasi kikubwa. adha, dhiki na shida zinaaowapata watanzania chanzo chake ni ufisadi
Karibu, sasa kwakuwa umesema upande wapo basi ni ruksa kuvote kwenye box juu ya nani afaa kuwa presida 2010-2015
 
Nimekuwa nikifatilia sana hii site, na nimeona inafaa sana, naomba kuwajoin

kwanza karibu sana! Ila nadhani sababu ya ugeni umepotea njia lipo jukwaa la utambulisho! Usihofu invisible akusaidia kurudisha kwenye jukwaa husika. mod hii inabana nafasi hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…