kambiringe
Member
- Sep 3, 2010
- 5
- 1
Nimekuwa nikifatilia sana hii site, na nimeona inafaa sana, naomba kuwajoin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuwa nikifatilia sana hii site, na nimeona inafaa sana, naomba kuwajoin
Mimi nachukia sana ufisadi, hasa ukizingatia ulivyolitafuna taifa letu kwa kiasi kikubwa. adha, dhiki na shida zinaaowapata watanzania chanzo chake ni ufisadi
Karibu, sasa kwakuwa umesema upande wapo basi ni ruksa kuvote kwenye box juu ya nani afaa kuwa presida 2010-2015Mimi nachukia sana ufisadi, hasa ukizingatia ulivyolitafuna taifa letu kwa kiasi kikubwa. adha, dhiki na shida zinaaowapata watanzania chanzo chake ni ufisadi
Nimekuwa nikifatilia sana hii site, na nimeona inafaa sana, naomba kuwajoin