sina imani na wewe mwali na kesho asubuhi natoa ripoti kamili kwa kungwi mkuu gfsonwin manake aliniacha makusudi hapa ili nikulinde kumbe kwl usharuka ukuta upo tu unadendeana na hubby wako ruttaWarembo tumejaa tele.
Ila humu kila mtu ana wake.
Iwapo utahitaji mke,nitakufanyia udalali kichwa 1 $500,000.
Ukiwa tayari nambie paul milya
Hapana,siwauzi nampa kwa Mkataba maalum.
Mwaka kwa Mwaka.
Mmmmhh!
Humu kuna shughuli kweli!
Hp=Hapa
Ktk=katika
Kuna lingine stevoh??
Hubby wangu.
Unaniruhusu mgeni huyu tumkague sie Mabinti wa CC,nami nikiwepo.
wewe kijana paul milya umekuja na mangapi weye humu?
sasa kabla sijafumbua macho ondoka upesi manake umemfanya hadi mwali wetu Madame B aonekane kigego kwa kutitii masharti ya sie makungwi wake.
ukitaka kuish humu masharti ni haya,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
huruhusiwi kutafuta kapo hadi uidhinishiwe na mwanasheria rutta, na lazima patna wako awe ame qualify ukaguzi wa Asprin ama Erickb52 sawa ama unakataa?

huruhusiwi kutafuta kapo hadi
uidhinishiwe na mwanasheria
rutta, na lazima patna wako awe ame qualify ukaguzi wa Asprin ama Erickb52 sawa ama unakataa?

Mgeni wetu karibu jamvini. Ungependa nikuletee kinywaji gani
Warembo tumejaa tele.
Ila humu kila mtu ana wake.
Iwapo utahitaji mke,nitakufanyia udalali kichwa 1 $500,000.
Ukiwa tayari nambie paul milya
Warembo tumejaa tele.
Ila humu kila mtu ana wake.
Iwapo utahitaji mke,nitakufanyia udalali kichwa 1 $500,000.
Ukiwa tayari nambie paul milya
Mgeni wetu karibu jamvini. Ungependa nikuletee kinywaji gani
Tuliza ball wewe.
Au hutaki pesa za chapchap?