The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
Wanajukwaa legwa nawakubali Wandugu ktk harakati ya hapa na pale hp jukwaani!
Mi ni mgeni lakini ninafuraha kuwa nanyi pale mtakapo nikubali kwani nimekuwa naperuz kitambo na mpaka sasa nimeamua kukita ndani fluuuu!
Tu pamoja Wakuu wote!
Full Time!
Ukarimu tu dada wengi wamemkaribisha kwa maneno lakini we umekumbuka kinywaji ndo nachokupendea,halafu shem mbona sijamuona ck nyingi yuko wapi maana nak
Tuliza ball wewe.
Au hutaki pesa za chapchap?
karibu mgeni weekend hii Bishanga atakupeleka Oman
Unatakiwa kuzingatia yafuatayo ukiwa kwenye hii famili.
*" you should prove to us your not minor"
*unatakiw usahau kuhusu kupandisha hasira kila muda una takiwa kutaba samu.
*maneno yanayo tawala humu ni
"i miss you, i love you, your so beautiful, am happy to join you, "
* hauruhusiwi kufunga ndoa bila kutoa tangazo litakalo dumu siku 30
*unatakiwa kutoa tangazo la kutaka mke litakalo dumu siku 30.
*utakiwi kufikisha miezi3 bila kuwa na mke hili kuepuka kuiba wake za watoto.
karibu sana, ila hasira za jukwaa la siasa ziache huko huko
wewe kijana paul milya umekuja na mangapi weye humu?
sasa kabla sijafumbua macho ondoka upesi manake umemfanya hadi mwali wetu Madame B aonekane kigego kwa kutitii masharti ya sie makungwi wake.
ukitaka kuish humu masharti ni haya,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
huruhusiwi kutafuta kapo hadi uidhinishiwe na mwanasheria rutta, na lazima patna wako awe ame qualify ukaguzi wa Asprin ama Erickb52 sawa ama unakataa?
huo mkwara lazima mgeni atokee mlango wa uani!!!
karibu sana, ila hasira za jukwaa la siasa ziache huko huko
karibu mgeni weekend hii Bishanga atakupeleka Oman
Jamani nimerudi na nina Imani ya kwamba jukwaani wote mu wazima wa afya njema wapendwa wangu!!!!!!!!!!!!:majani7::majani7:
:A S thumbs_up::A S thumbs_up:
The secretary; Huyu bwana mkubwa amesharudigi huko alikoelekeaga??????????
Kwi kwi kwiiiiii........natumia Tusker bariidiiiii jamani!!!!!!!!!!