olle bergdahl
Member
- Jul 4, 2017
- 31
- 25
Wakuu ninaomba muongozo wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu bwana mimi ndiyo askari wa ukaguzi.Wakuu ninaomba muongozo wenu
Asante sana kiongoziKaribu bwana mimi ndiyo askari wa ukaguzi.
Ni vyema ukajitanabaisha kw
- jinsia
na barua ya kujiunga ikiwa na passport tatu kubwa za fremu bila kusahau simu/pc unayotumia ili tukuunganishe na server za kiumeni
Obheja kulumba Ngwanike wane[emoji173]Karib
Asante sana nduguKaribu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Obheja kulumba Ngwanike wane[emoji173]
Mkuu njoo vizuri humu kuna wake za watu! Usiseme hujaambiwa.Obheja kulumba Ngwanike wane[emoji173]
Asante anko [HASHTAG]#ndumi[/HASHTAG]Karibu sana Jf
Usiogope kinehe.Mkuu njoo vizuri humu kuna wake za watu! Usiseme hujaambiwa.
[emoji106] Njoo inbox tuyajenge.Karibu sana, nipo kwa ajili ya wageni. Atakayekuudhi njoo umshtaki kwangu nitashughulika nae.
Vipi kuna member ameshakuudhi dakika chache hizi?[emoji106] Njoo inbox tuyajenge.
Umu inzi wengi, nikijakuwa famous wataanza kunipiga vijembe
Nataka unifundishe jinsi ya kuandika status na kuchange jina...coz naona umu mamluki wengi.Vipi kuna member ameshakuudhi dakika chache hizi?
[emoji3][emoji3][emoji3]wasukuma buana!Nataka unifundishe jinsi ya kuandika status na kuchange jina...coz naona umu mamluki wengi.
Hehehe neema kazi unayo na msukuma wako! Anataka aweke status ya whatsappVipi kuna member ameshakuudhi dakika chache hizi?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hehehe neema kazi unayo na msukuma wako! Anataka aweke status ya whatsapp