olle bergdahl
Member
- Jul 4, 2017
- 31
- 25
- Thread starter
- #41
Nahene bhangoshaNyanebhe gashi uli yashika chene hangi [emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahene bhangoshaNyanebhe gashi uli yashika chene hangi [emoji1]
Naandika habari za asubuhi..acha kunifanya mshamba.Unaiandikia hapa hapa ..
Abhasukuma wanatuona washamba sana.Hii ndio jei efu buaanaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Niko mzimaWakondya wasu... Uko poa mrembo
Naona umeanza uchochezi ShemKaribu bwana mimi ndiyo askari wa ukaguzi.
Ni vyema ukajitanabaisha kw
- jinsia
na barua ya kujiunga ikiwa na passport tatu kubwa za fremu bila kusahau simu/pc unayotumia ili tukuunganishe na server za kiumeni
Yebhe Nipeko kanamba kako nikupigiemo, umu wananilochaNiko mzima
YupiNaona umeanza uchochezi Shem
Lisilokuhusu lisikusumbueYupi
Bariadi wajanja sana wakiwakilishwa na cheyo na chenge[emoji12] [emoji12]Abhasukuma wanatuona washamba sana.
Mimi naishi bariadi mjini...najua tabia zenu watu wa uko darisalama nimesimuliwa mna madharau.
Ndo mana hamuli ugali.
Kabira moja na bashite kumbeObheja kulumba Ngwanike wane[emoji173]
Post yako au yangu?Lisilokuhusu lisikusumbue
Yupi
Ukishaipost JF si yako tena! Ni Mali ya MaxPost yako au yangu?
Hahaha mimi nipo bariadi mjini kwa wajanja.Bariadi wajanja sana wakiwakilishwa na cheyo na chenge[emoji12] [emoji12]
Nasikia huko kuna jiji kubwa kuliko NewYork linaitwa gamboshi ila linaonekana na wenyewe tu.[emoji28]
Daudi kwao kolomoje huko mashambaniKabira moja na bashite kumbe
Apost yeye basi.Ukishaipost JF si yako tena! Ni Mali ya Max
Wasukuma wote huwa tunawafanya ivyo. So take care broskiNaandika habari za asubuhi..acha kunifanya mshamba.
Kumbe unatokea bariadi kwa chenge. Halafu madisko yenu mmezungusha miti ya alizeti mnaingia kwa kiingilio. Heheee..Abhasukuma wanatuona washamba sana.
Mimi naishi bariadi mjini...najua tabia zenu watu wa uko darisalama nimesimuliwa mna madharau.
Ndo mana hamuli ugali.
[emoji3][emoji3] ukitaja chenge unakosea.Kumbe unatokea bariadi kwa chenge. Halafu madisko yenu mmezungusha miti ya alizeti mnaingia kwa kiingilio. Heheee..
Karibu sana mkuuWakuu ninaomba muongozo wenu