Hodi WanaJF

Hodi WanaJF

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
3,211
Reaction score
3,611
Najitambulisha kwenu kama Member mpya, kwa ukarimu wenu mmeishanipandisha cheo hadi kuwa Senior Member, ninawashukuru kwa hilo, endeleeni kunipa ushirikiano kwa viwango stahiki.

Nami kama mgeni sijaja mikono mitupu, nimewaleteeni pamoja nami baraka za mawazo mapya mbadala, nipokeeni wenyeji wangu.
 
Nani alikwambia kuwa humu kuna haja ya kujitambulisha?
Humu tunatambulishwa eidha na michango bora au ujinga wetu
 
Back
Top Bottom