Natumai kwa neema ya Mungu nyote mu wazima.
Nimekuwa msomaji wa JF kwa miaka 4 sasa bila kujiunga. Leo nimeamua kujiunga ili noweze kuchangia mawazo yangu na uelewa wangu kwenye mada mbalimbali kadri Mwenyezi Mungu atakavyoniongoza.
Naomba ushirikiano wenu wanajukwaa.
Mungu awabariki sana.