Hodi wandugu...

Hodi wandugu...

humblemimi

Member
Joined
Apr 14, 2021
Posts
7
Reaction score
5
Natumai kwa neema ya Mungu nyote mu wazima.

Nimekuwa msomaji wa JF kwa miaka 4 sasa bila kujiunga. Leo nimeamua kujiunga ili noweze kuchangia mawazo yangu na uelewa wangu kwenye mada mbalimbali kadri Mwenyezi Mungu atakavyoniongoza.

Naomba ushirikiano wenu wanajukwaa.

Mungu awabariki sana.
 
Krb sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT upate faidi.
 
Back
Top Bottom