hodhodi waugwana
Jifunze kuandika vizuriSawa mkuu ila nashukuru kwa kunikalibisha
Hahahaaa!Sawa sawa
Sasa Kwann umebadilisha profile picture na kuweka Ya daraja ungeacha ileile picha yako ilikuwa Poa wenyeji wako wangependa kukutambua kwa sura naomba urudishe ile picha yako kwa wenyeji ambao hawajapa kukuona waweze kukutambua mjomba.
Ndio mzee wa connectionTaja majina yako yote!
Weka namba ya simu ili mademu wa JF wakupigie
Sema unakaa wapi?
Ndio mzee wa connection