Hodi wapendwa!

Hodi wapendwa!

hodhodi waugwana

Karibu sana mjomba hapa ndio mjini na hapa ulipo shukia panaitwa Jamii forum lango la jiji,naomba twende nyumbani ukapate chakula kisha upumzike kesho nitakutembeza kukuonesha jiji letu na vitongoji vyake.

Nakuomba Uwe mtulivu paka kesho usithubutu kuongea na yeyote yule hapa jijini kwa kuwa jiji lina aina tofauti Ya watu.

Wapo watakao kubeza wapo watakao kukaribisha kwa moyo mmoja wapo watakao kuomba urudi kule kijijini Facebook nakuomba usiwasikilize Wewe komaa na hili jiji ili upate maharifa ili siku ukirudi kijijini kwetu Facebook ukawe mwalimu wao

Kwa Leo naomba niishie hapa mjomba nisikuchoshe sana pata chakula kisha uende kupumzika Ila ukikosa usingi usisite kuchungulia dirishani kuangalia majirani nini wanafanya Ila nasisitiza si busara kuwakoromea na kujifanya unajua kuliko wenyeji wako atakama atakuwa amekosea wewe kuwa mjinga kwa siku mbili tatu paka pale utakapo lijua jiji

Tena nimesahau kukwambia kitu mjomba hawa watu wa jiji hili wanapenda kutikisa kibiriti Ilikutaka kujua Kama Kina njiti Au ni kasha tupu kwa kunyanyua mdomo wako Ndio kuumbuka kwako

Kwaheri mjomba Mimi naenda kulala.
 
Sawa sawa
Sasa Kwann umebadilisha profile picture na kuweka Ya daraja ungeacha ileile picha yako ilikuwa Poa wenyeji wako wangependa kukutambua kwa sura naomba urudishe ile picha yako kwa wenyeji ambao hawajapa kukuona waweze kukutambua mjomba.
 
Sawa sawa
Sasa Kwann umebadilisha profile picture na kuweka Ya daraja ungeacha ileile picha yako ilikuwa Poa wenyeji wako wangependa kukutambua kwa sura naomba urudishe ile picha yako kwa wenyeji ambao hawajapa kukuona waweze kukutambua mjomba.
Hahahaaa!
 
Nimeanza kupoteza ushawishi wng wa connection.... Video sijapata mpk leo! Na mm nimekuja DSM enzi hizo kibao cha WELCOME TO DSM kipo KISUTU... Manzese hakuna daraja... Motogoro Rd ilikuwa single way
Ndio mzee wa connection
 
Back
Top Bottom