Mjukuu Wa Kambo
Member
- Aug 13, 2016
- 55
- 25
- Thread starter
-
- #21
Dah Ahsante kwa kunijuza wacha nisegee maana aka kamchepuko kangu kipo likizoni...Kule makapuku hakunaga Ban Kuna sakos yao kunawachumba tehetehe admin anaitwa Bitoz burdaniii
Huo Mkoba ni wa kurith nyenzo zote ziko umo mtu akizingua tuu usiku ninae...Na lzm nimfanye vibaya.." Waungwana na nyinyi Nusu Ras Sitini Majununi...."
karibu muungwana, mkoba wako wa kurithi au umenunua?
Ahsante mkuu..karibu sana tupo pa1
Ahsante mkuu tuko pamoja...Karibu sana.
Ahsante sana Muungwana,Ni hadith ndefu na kama ulivyosema nikipata nafasi nitakujuza na iwe faida kwa wengine,Karibu sana mjukuu wa kambo. Ukipata nafasi hebu tujuze huu ujukuu wa kambo ulikupataje.
daah kumbe wewe unataka mchepuko hku. chunga sana ukigusa wakwangu unakula za uso.Dah Ahsante kwa kunijuza wacha nisegee maana aka kamchepuko kangu kipo likizoni...
Kwenu Ndugu Jamaa na Marafiki
Rejeeni kichwa cha habari hapo juu..Nimekuwa nikisoma habari tofauti toka JF sasa nimeamua kujiunga nanyi......
Natanguliza shukran kwenu wote Waungwana na nyinyi Nusu Ras Sitini Majununi....
Mimi wa kwenu Mjukuu Wa Kambo....
Kiswahili mkuu lkn ndio utaratibu hata unapotaka kuingia nyumbani kwa mtu unapiga hodi....Unaomba kujiunga jf wakati ushajiunga....
Karibu sana
Kiswahili mkuu lkn ndio utaratibu hata unapotaka kuingia nyumbani kwa mtu unapiga hodi....
nusu Ras Sitini ashki majununi manake nini?Kwenu Ndugu Jamaa na Marafiki
Rejeeni kichwa cha habari hapo juu..Nimekuwa nikisoma habari tofauti toka JF sasa nimeamua kujiunga nanyi......
Natanguliza shukran kwenu wote Waungwana na nyinyi Nusu Ras Sitini Majununi....
Mimi wa kwenu Mjukuu Wa Kambo....
Yaani nusu mzima nusu unajitia wazimu Tobinhonusu Ras Sitini ashki majununi manake nini?
karibu...nadhani utakutana na babu yako alokutelekeza Babu wa Kambo