Hodi waungwana naomba kujiunga (JF)

Hodi waungwana naomba kujiunga (JF)

" Waungwana na nyinyi Nusu Ras Sitini Majununi...."

karibu muungwana, mkoba wako wa kurithi au umenunua?
 
" Waungwana na nyinyi Nusu Ras Sitini Majununi...."

karibu muungwana, mkoba wako wa kurithi au umenunua?
Huo Mkoba ni wa kurith nyenzo zote ziko umo mtu akizingua tuu usiku ninae...Na lzm nimfanye vibaya..
 
Karibu sana mjukuu wa kambo. Ukipata nafasi hebu tujuze huu ujukuu wa kambo ulikupataje.
 
Kwenu Ndugu Jamaa na Marafiki

Rejeeni kichwa cha habari hapo juu..Nimekuwa nikisoma habari tofauti toka JF sasa nimeamua kujiunga nanyi......

Natanguliza shukran kwenu wote Waungwana na nyinyi Nusu Ras Sitini Majununi....

Mimi wa kwenu Mjukuu Wa Kambo....

Unaomba kujiunga jf wakati ushajiunga....

Karibu sana
 
Kwenu Ndugu Jamaa na Marafiki

Rejeeni kichwa cha habari hapo juu..Nimekuwa nikisoma habari tofauti toka JF sasa nimeamua kujiunga nanyi......

Natanguliza shukran kwenu wote Waungwana na nyinyi Nusu Ras Sitini Majununi....

Mimi wa kwenu Mjukuu Wa Kambo....
nusu Ras Sitini ashki majununi manake nini?
karibu...nadhani utakutana na babu yako alokutelekeza Babu wa Kambo
 
Back
Top Bottom