Hodi waungwana

Hodi waungwana

Kiwike

Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
94
Reaction score
100
Habari zenu...naitwa Kiwike mie mwanachama mpya nimejiunga juzi nakuanza kusoma mambo mbalimbali nimegundua nimepitwa na mambo mengi sana kwa kuchelewa kwangu...JF nilikuwa naichukulia poa sana...
Sasa mimi nitakuwa mwanachama hai naomba ushirikiano wenu.
 
Back
Top Bottom