Hodi Waungwana

kuna watu wanamaswali humu ila vumilia tu mdogo wangu
 
Usisahau kuturushia MB 100 kila tunapokugongea like hapa jamvini.
 
Weka picha yako halisi..na passport size mbili..
 
Weka picha yako halisi..na passport size mbili..
Ngoja nikamilishe taratibu za kiserikali kwa afisa mtendaji wa mtaa ili zipigwe na muguri kabisa kisha naziwasilisha kwako rasmi mtukufu mkuu wa jf.
 
Ukhuty kulikoni?mbona leo hujawasili huku kuja kumkaribisha mgeni??πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…