Hodi Waungwana

Hodi Waungwana

Muramu lina maana gani?
 
Karibu una vyeti origino lakini?kama una element za ubashite jiuzulu fasta
 
Ninavyeti orijino kabisa kuanzia cha kuzaliwa, cha kuhitimu darasa la 7 na cha kuhitimu kozi ya ufundi magari makubwa na madogo. Pia vimethibitishwa na mahakama ya hakimu mkazi wa eneo letu.
 
Ombi lako nalishugurikia
 
muramu said:
Alisema kuwa humu kuna mambo mengi yanayohusu kujifunza kusoma, kuandika na kuhesabu.
Kwa hiyo Shemeji yako katuona sisi watoto wa Darasa la pili tunaojifunza KKK?
 
Hilo sina elimu nalo ila alisema humu kuna watu wanojua kkk tu na wamepewa mamlaka ya kuongoza watu wenye Ph.D, Masters na Bachelors.
 
Back
Top Bottom