M Matulanya Member Joined Sep 18, 2009 Posts 38 Reaction score 0 Sep 18, 2009 #1 Asalaam Alekyum waungwana wote wa baraza hili maridhawa kabisa.Naomba kubisha hodi kwa mlango wa nyuma ili nijumuike nanyi katika kuperuzi na kudadisi mambo yanayojiri katika dunia yetu. Naomba kuwasilisha wanabaraza!!
Asalaam Alekyum waungwana wote wa baraza hili maridhawa kabisa.Naomba kubisha hodi kwa mlango wa nyuma ili nijumuike nanyi katika kuperuzi na kudadisi mambo yanayojiri katika dunia yetu. Naomba kuwasilisha wanabaraza!!
Che Kalizozele JF-Expert Member Joined Jul 20, 2008 Posts 777 Reaction score 50 Sep 18, 2009 #2 Hatuna budi kukukaribisha,lakini wageni upitia mlango wa mbele.Inawezekana ulikuwa haujui si unajua mambo ya ugeni.Karibu sana jisikie uko ugenini.
Hatuna budi kukukaribisha,lakini wageni upitia mlango wa mbele.Inawezekana ulikuwa haujui si unajua mambo ya ugeni.Karibu sana jisikie uko ugenini.
Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,803 Reaction score 1,601 Sep 20, 2009 #3 Karibu sana mlango mara nyingi mlango wa mbele ni wageni na nyuma huwa hautumii sana!!