Hodi waungwana!!

Hodi waungwana!!

Matulanya

Member
Joined
Sep 18, 2009
Posts
38
Reaction score
0
Asalaam Alekyum waungwana wote wa baraza hili maridhawa kabisa.Naomba kubisha hodi kwa mlango wa nyuma ili nijumuike nanyi katika kuperuzi na kudadisi mambo yanayojiri katika dunia yetu.
Naomba kuwasilisha wanabaraza!!
 
Hatuna budi kukukaribisha,lakini wageni upitia mlango wa mbele.Inawezekana ulikuwa haujui si unajua mambo ya ugeni.Karibu sana jisikie uko ugenini.
 
Karibu sana mlango mara nyingi mlango wa mbele ni wageni na nyuma huwa hautumii sana!!
 
Back
Top Bottom