Weken Picha na Jinsia zen twende sawaHodi wapendwa mgeni nimeingia ili kujumuika nanyi.ktk mambo mbalimbali yausuyo jamii yetu kwaufupi nimependa mijadala na coment za watu maana zingine huwa zinachekesha nami nitakuwa pmj nanyi bega kwa bega.
Nimekuwa nikifuatilia na kusoma jukwaa hili adhimu. Ninaomba mnipokee. Jukwaa lina mambo mengi makubwa na mazuri japo naona nautoto na mzaha ukijitokeza. Ninapenda sana majukwaa matatu, Uchumi na biashara,Ujasiriamali na siasa. Nitashiriki kikamilifu huko. Hodi.