Hodi waungwana

Hodi waungwana

Hwasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
1,271
Reaction score
720
Nimekuwa nikifuatilia na kusoma jukwaa hili adhimu. Ninaomba mnipokee. Jukwaa lina mambo mengi makubwa na mazuri japo naona nautoto na mzaha ukijitokeza. Ninapenda sana majukwaa matatu, Uchumi na biashara,Ujasiriamali na siasa. Nitashiriki kikamilifu huko. Hodi.
 
karibu sana mkuu, ila kuna watu wako mlangoni hapo pita taratibu usiwakanyage ......
 
Karibu sana, najua umeona mazuri mengi kuliko utoto!!.…. Naam karibu, hapa hatukagui vyeti Feki.....ndio maana umeona na utoto upo kidogo.....karibu uwe msaada kwa wengine pia. Utoto usije bali upungue
 
Hodi wapendwa mgeni nimeingia ili kujumuika nanyi.ktk mambo mbalimbali yausuyo jamii yetu kwaufupi nimependa mijadala na coment za watu maana zingine huwa zinachekesha nami nitakuwa pmj nanyi bega kwa bega.
 
Weken Picha na Jinsia zen twende sawa

Back
Top Bottom