unique dada
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 770
- 605
Nimekuwa nikichangia mara mojamoja kwenye baadhi ya thread kwenye majukwaa mbalimbali ya jf naomba mnikaribishe mwenzunu jamani wana jf hodi!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibuuuuuu
Karibu sana JF mjukuu wetu...............
Ahsanteni wapendwa kwa kunipokea mbarikiwe sana
Ahsante kiongozi usijali zawadi ninazonyingi sana kaa tayari kuzipokeakaribu sana kitukuu nataraji umekuja na zawad nying za bwana lowasa tunasubir nyuz kutoka kwako jamvin great thinker karibu sana