Hodi wenyewe!

Hodi wenyewe!

Kagwina

Member
Joined
May 1, 2009
Posts
31
Reaction score
7
Wana wa JF, Mimi ni mgeni kabsaa, natoka kijijini. Nimengia hapa juzi tu. Nafurahi kuwa mmoja wa jamii hii.
Kagwina
 
Karibu sana!

I like your signature, and your avatar is very good.
Did you make it yourself?
 
ungemjibu kwa kiswahili mkuu......
karibu kagwina...
Poa! 🙂

Hata hivyo, ngoja nikueleze shida iko wapi. Asilimia kubwa ya mambo ninayosoma, yameandikwa kwa kiingereza. Nikikwambia nina kiu ya kusoma maandiko ya kiswahili yaliyoandikwa kwa ustadi wa kuzidi uwezo wangu kiuandishi katika lugha, utashangaa?

Halafu nikiwa nimechoka, napata tabu kujieleza kwa kiswahili. Huwa sipendezwi na kile nilichoandika. 🙁
 
Last edited:
Back
Top Bottom