Hodi wenyewe..

Hodi wenyewe..

Vinci

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2009
Posts
2,637
Reaction score
673
Jaman waungwana wa humu jamvin nawasalimu kwa pamoja mabibi na mabwana.Salamu aleikhum wote.
 
Amani iwe juu yako nawe pia...Karibu saaaana
 
nashukuru kwa soda...ila ningefurahi kama ungenikaribisha kwa kitochi....wanaJF wanaotokea chini ya mlima kili...watanielewa. ha ha aha
 
Hii ndo dunia bwana, wengine waingia wengine watoka, wazaliwa wafa, wengine bwenini wengine shambani, wengine walala wengine wafanya kazi, wengine walia wengine wacheka, wengine shuleni wengine mtaani, wengine wasaza wengine njaa, wengine kilio wengine kicheko, wengine weusi wengine maji ya maharage, wengine warefu wengine wafupi. Haya mkubwa karibu nawe ujimwage hapa jamvini!
 
wengine waingia wengine wanatoka
wengine wanazaliwa wengine wanakufa
karibu Vince
 
Back
Top Bottom