Wasaalam wanajukwaa!
Nimeamua kwenda kujilipua Zanzibar hivyo kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu huu mji naomba uzoefu wake.
Kwa nini naenda Zanzibari? Jibu ni simple tu, naenda kutafuta maisha.
Nipeni uzoefu jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau kanzu sandroz kilemba barakashia na msuuliWasaalam wanajukwaa!
Nimeamua kwenda kujilipua Zanzibar hivyo kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu huu mji naomba uzoefu wake.
Kwa nini naenda Zanzibari? Jibu ni simple tu, naenda kutafuta maisha.
Nipeni uzoefu jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa wewe; ulikuwa unalima wapi na nini?Pako vizuri; bidii zako tu. Chochote utakachojihusisha nacho. Mie nmekaa sana huko, nlikuwa najishughurisha na kilimo. Pako vzur sna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie wanapenda jichoUsisahau kanzu sandroz kilemba barakashia na msuuli
@mshana jr![emoji3166]NCHI ya wenyewe ile ni tAfauti kabisa na TANGANYIKA kwa wenye chogo
Jr[emoji769]
Cha ajbu hapo nini?
Sawa
Wasaalam wanajukwaa!
Nimeamua kwenda kujilipua Zanzibar hivyo kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu huu mji naomba uzoefu wake.
Kwa nini naenda Zanzibari? Jibu ni simple tu, naenda kutafuta maisha.
Nipeni uzoefu jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Le bahariašCha ajbu hapo nini?
Kumbuka umeshaambiwa nchi ya wenyewe hii
WANAKUJA KUKUPA MWONGOZO SOON!!!Wasaalam wanajukwaa!