Hodi Zanzibar

Hodi Zanzibar

Pako vizuri; bidii zako tu. Chochote utakachojihusisha nacho. Mie nmekaa sana huko, nlikuwa najishughurisha na kilimo. Pako vzur sna.
Wasaalam wanajukwaa!

Nimeamua kwenda kujilipua Zanzibar hivyo kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu huu mji naomba uzoefu wake.

Kwa nini naenda Zanzibari? Jibu ni simple tu, naenda kutafuta maisha.

Nipeni uzoefu jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom