Hodi

Habari za saa hizi waungwana. Nawasalimia.

Naomba wahusika napenda niwe verified member. Hio ni picha yangu halisi na jina ni langu halisi.

Ahsanteni.
Karibu sna mzee wngu kikubwa hapa siku hizi kumekuwa na watoto wengi na kukosa heshima najua kwa umri sio tatizo hizo ni changamoto za kawaida karibu sna kwenye jukwaa...
 
Kuna namna nyingine ya kuwajulisha wahusika? Nimetuma pm kama nilivoelekezwa lakini naona mpaka leo bila bila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…