Rubawa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2015
- 2,055
- 3,254
Karibu sna mzee wngu kikubwa hapa siku hizi kumekuwa na watoto wengi na kukosa heshima najua kwa umri sio tatizo hizo ni changamoto za kawaida karibu sna kwenye jukwaa...Habari za saa hizi waungwana. Nawasalimia.
Naomba wahusika napenda niwe verified member. Hio ni picha yangu halisi na jina ni langu halisi.
Ahsanteni.